Jeremiah 25:30

30 a“Basi sasa toa unabii kwa maneno haya yote dhidi yao, uwaambie:

“ ‘Bwana atanguruma kutoka juu;
atatoa sauti ya ngurumo
kutoka makao yake matakatifu
na kunguruma kwa nguvu sana
dhidi ya nchi yake.
Atapiga kelele kama wao wakanyagao zabibu,
atapiga kelele dhidi ya wote waishio duniani.
Copyright information for SwhNEN